Wednesday, April 6, 2011

Naomba msaada kwenye tuta..............Hili gari lipo kikazi au?!?!!

Jamani hili gari la Serikali (pesa zetu) limebeba mkaa na mazagazaga kibao!!!!. Ninachouliza je hili gari lipo kikazi ? au limetoka shopping kwa ajili ya mkubwa fulani !!!!! au ndo kasi zaidi?

No comments:

Post a Comment